Ghasia, maandamano yazuka Atlanta baada ya kifo cha mtu mweusi
Mgahawa wa Wendy’s unawake moto kufuatia maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na kitendo cha kuuawa Rayshard Brooks wakati akishikiliwa na polisi.
Picha hii iliyotolewa na Idara ya Polisi ya Atlanta inamuonyesha Rayshard Brooks akiongea na Afisa Garrett Rolfe kwenye eneo la kuengesha magari la mgahawa wa Wendy, Jioni Ijumaa, Juni 12, 2020, mjini Atlanta. (Atlanta Police Department via AP)
Gari ya Brooks iliyokuwa imepaki katika mgahawa wa Wendy.
Waandanamaji wakusanyika nje ya mgahawa wa Wendy's, Atlanta Jumamosi, Juni 13, 2020, Steve Schaefer/
Maandishi yaliyochorwa kwa kupulizia rangi yanayosema "RIP Rayshard" yawekwa na waandamanaji wakati moto ukiendelea kuwaka katika Mgahawa wa Wendy Jumamosi, Juni 13, 2020, Atlanta
Protestors gather outside the Wendy's fast food restaurant in Atlanta on Saturday, June 13, 2020, where Rayshard Brooks, a 27-year-old black man, was shot and killed by Atlanta police Friday evening during a struggle in a drive-thru line. (Steve Schaefer/
Waandamanaji wakusanyika katika mtaa wa University ulioko karibu na Mgahawa wa Wendy, Jumamosi, Juni 13, 2020 mjini Atlanta. Utawala wa Georgia ulisema Jumamosi mtu mmoja alipigwa risasi na kuuawa katika purukushani iliyotokea kati yake na polisi wa Atlanta usiku mwingi nje ya mgahawa wa Wendy. (Steve Schaefer/ Atlanta Journal -Constitution via AP)
APTOPIX Police Shooting Atlanta
Waandamanaji wakusanyika katika mtaa wa University ulioko karibu na Mgahawa wa Wendy, Jumamosi, Juni 13, 2020 mjini Atlanta. Utawala wa Georgia ulisema Jumamosi mtu mmoja alipigwa risasi na kuuawa katika purukushani iliyotokea kati yake na polisi wa Atlanta usiku mwingi nje ya mgahawa wa Wendy. (AP Photo/Brynn Anderson)