Gereza lashika moto mjini Tehran, dunia yafuatilia usalama wa wafungwa wa kisiasa

Your browser doesn’t support HTML5

Moto na moshi ulionekana ukitoka kwenye gereza la Evin mjini Tehran. Maelezo bado hayako wazi, gereza hilo ambalo linajulikana sio la kawaida ambalo linawafungwa wa kisiasa nchini Iran vipi lilishika moto.

Hali hii ya kuwaka gereza hili imetokea wakati ikiwa ni mwezi wa pili maandamano yanaendelea kushika kasi yaliyogeuka kuwa ghasia dhidi ya Jamhuri ya Kiislam. Endelea kusikiliza habari kamili kuhusu tukio hili...