Gaza yaendelea kushambuliwa kwa mabomu huku Israel ikibadilisha msimamo wake

Your browser doesn’t support HTML5

Mashambulizi ya mabomu yameendelea Gaza wakati Israel imebadilisha msimamo wake kukubali kufanya mazungumzo na Washington kwa ajili ya Rafah.

Raia wa Senegal wanataka mabadiliko makubwa kufuatia Tume ya Uchaguzi kutangaza ushindi wa urais kwa mgombea wa upinzani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari