Mapigano yanayoendelea mashariki Congo

Wanajeshi wa Kongo wakiwasili kwa lori katika kambi ya kijeshi ya Rumangabo kambi iliyokuwa inashikiliwa na wapiganaji wa M23, Kaskazini ya Goma, Oct. 28, 2013.

Kifaru cha kundi la M23 kilichoaharibiwa na wanajeshi wa Kongo karibu na kambi ya kijeshi ya Rumangabo kaskazini ya Goma, Oct. 28, 2013.

Wakongo wanaokimbia mapigano kati ya jeshi na wapiganaji wa M23 na kutafuta maeneo ya usalama karibu na Kibumba, kaskazini ya Goma, Oct. 27, 2013.

Jeshi la Kongo linafyetua mizinga kutoka lori la kufyetua mizinga dhidi ya vituo vya wapiganaji wa M23 hapo Kibumba, kaskazini ya Goma, Oct. 27, 2013.

Wanajeshi wa Kongo wanasonga kuelekea mstari wa mbele wa mapigano wanapowafurusha wapiganaji wa wa M23 kutoka Kibumba, kaskazini ya Goma, Oct. 27, 2013.