Mlipuko wa lori la mafuta umesababisha vifo 56 Msumbiji
Watu wakimsaidia muathiriwa wakimondowa kutoka eneo la mlipuko wa lori la mafuta katika jimbo la Tete, Msumbiji, 17 novembre 2016.
Waathiriwa walojeruhiwa vibaya wasubiri kupelekwa hospitali, 17 novembre 2016.
Watu watumia shuka kumokoa muathiriwa wa mlipuko wa lori la mafuta huko Msumbiji jimbo la Tete, 17 novembre 2016.
Lori la mafuta lililolipuka katika jimbo la Tete, huko Msumbiji, 17 novembre 2016.
Mtoto aliyeungua vibaya kutokana na mlipuko wa lori la mafuta anawasilishwa hospitali 17 novembre 2016.
Ramani ya jimbo la Tete Msumbiji ambako mlipuko wa lori la mafuta limesababisha vifo vya watu 56