Juhudi zaongezeka kuwasaidia wahamiaji Ulaya
Your browser doesn’t support HTML5
Juhudi za kuwaunga mkono wahamiaji na wakimbizi wanojaribu kuingia Ulaya magharibi zimepata nguvu mwishoni mwa wiki pale wanaharakati wallipoandaa maandamano mwishoni mwa wiki kote barani humo.