Waethiopia wapiga kura kuchagua bunge jipya

Mwanamke akipiga kura katika uchaguzi mkuu wa Ethopia mjini Addis Ababa, May 24, 2015.

Mpiga kura akitizama karatasi ya kupigia kura kabla hajapiga kura katika uchaguzi mkuu mjin Addis Ababa, May 24, 2015.

Watu wakisubiri kwenye mstari ili kupiga kura zao katika kituo kimoja cha kupiga kura mjini Addis Ababa, May 24, 2015.

A man casts his vote in Ethiopia's general election in Addis Ababa, May 24, 2015.

Maafisa wa uchaguzi wakagua kadi ya kupiga kura wakati watu wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi mkuu mjini Addis Ababa, May 24, 2015.