Misri yafungua makuburi ya zamani
Mchoro wa enzi za mafarao ndani ya kaburi la mfalme mmoja wa zamani, lilofunguliwa baada ya miaka mitano ya ukarabati, Luxor, Egypt, Nov. 5, 2015. (H. Elrasam/VOA)
Wafanyakazi wa Misri wakiondoa vifusi karibu na makaburi ya kifalme katika Bonde la Wafalme Luxor, Egypt, Nov. 5, 2015. (H. Elrasam/VOA)
Ingawa biashara iko chini kidogo, watalii wanaendelea kutembelea makburi hayo ya zamani, Luxor, Egypt, Nov. 5, 2015. (H. Elrasam/VOA)
Watalii na waandishi wa habari wakijipanga kutembelea makuburi yaliyofunguliwa upya, Luxor, Egypt, Nov. 5, 2015. (H. Elrasam/VOA)
Waziri wa mambo ya kale wa Misri Mamdouh Eldamaty akizungumzia historia ya sanaa inayoonyeshwa katika michoro ndani ya makuburi yaliyofunguliwa upya, Luxor, Egypt, Nov. 5, 2015. (H. Elrasam/VOA)