ECOWAS yatayarisha mipango ya uwezekano wa kuingia kijeshi Niger

Your browser doesn’t support HTML5

Mataifa ya Afrika Magharibi leo yamefanyia kazi mipango ya uwezekano wa kuingia kijeshi Niger, kufuatia mapinduzi ya kijeshi na bado hawajakata tamaa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari