DRC: Takriban ni miaka miwili tangu kulipuka volcano, yakadiriwa watu nusu milioni hawana makazi

Your browser doesn’t support HTML5

Ni takriban miaka miwili tangu kulipuka volcano huko mashariki ya DRC ambako karibu watu nusu milioni wamelazimika kuhama makazi yao kwa nguvu na wengine kukoseshwa makazi. Mapigano pia yamesababisha kukimbia makazi yao.

White House ya Marekani ilikuwa mwenyeji wa tuzo za wanawake wenye uthubutu Jumatano kwa wote walioonyesha ujasiri kwa kukabiliana na changamoto mbalimbali.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari