Siku ya tatu ya Mkutano Mkuu wa chama cha Demokratik
Wagombea viti vya Bunge la Marekani wajulishwa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama cha demokratik mjini Philadelphia, Pennsylvania, July 27, 2016.
Wajumbe wa California walokua na upinzani mwanzoni mwa mkutano wanabeba mabango siku ya tatu kuunga mkono mkutano mkuu.mjini Philadelphia, July 27, 2016.
Wasani wakiimba wimbo wa "What the World Needs Now" wakati wa siku ya tatu ya mkutano mkuu wa chama cha Demokratik Philadelphia, July 27, 2016.
Mbunge Nita Lowey, D-NY., kulia, Mbunge. Paul Tonko, D-N.Y., Mbunge Louise Slaughter, D-N.Y., wajumbe wengine wakiimba pamoja na wasani waloimba wimbo wa "What the World Needs Now" huko Philadelphia, July
Wajumbe wa Virginia wakishangilia baada ya mgombea mwenza Sen. Tim Kaine kuteuliwa rasmi kugombania kiti cha makamu rais.Philadelphia, July 27, 2016.
Delegates cheer as members of the Congressional Black Caucus take the stage on the third day of the Democratic National Convention in Philadelphia, July 27, 2016.
Mbunge wa zamani Gabby Giffords, D-Ariz., na mumewe rubani wa anga za juu Mark Kelly walizungumza wakati wa mkutano mkuu wa Philadelphia, July 27, 2016
Lenny Kravitz msani akiwatumbwiza wajumbe kwenye mkutano wa Philadelphia, July 27, 2016.
Meya wa zamani wa New York Michael Bloomberg akizungumza kumunga mkono Hillary Clinton Philadelphia, July 27, 2016.
미국과 맞닿은 멕시코 티후아나 접경지대에서 인부들이 장벽건설 작업을 하고 있다.
Makamu rais Joe Biden akizungumza kwenye mkutano wa Philadelphia, July 27, 2016.
Wajumbe wakishangilia katika mkutano wa chama cha Demokratik mjini, Philadelphia.
Mgombea mwenza wa chama cha Demokratik, Sen. Tim Kaine akihutubia mkutano wa Philadelphia, July 27, 2016.
Mjumbe akitumia lugha ya ishara kuwaarifu wajumbe viziwi na mabubu kwenye mkutano wa Philadelphia, July 27, 2016.
Rais Barack Obama wa Marekani akipanda jukwani kuhutubia mkutano mkuu wa chama cha Demokratik mjini Philadelphia, Pennsylvania, July 27, 2016.
Mgombea kiti cha rais wa chama cha Demokratik Hillary Clinton ajitokeza na kumkumbatia Rais Obama mara tu baada ya kuwaomba wajumbe kumunga mkono katika uchaguzi wa rais.