Daktari wa uzazi atahadharisha matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba

Your browser doesn’t support HTML5

Daktari wa masuala ya uzazi Tanzania aeleza madhara ya matumizi ya vidonge vya dharura vya kuzuia mimba na madhara yake kwa wale wanaotumia baada ya kufikia umri wa utu uzima.