Kushuka kwa bei ya madini kwenye masoko ya kimataifa kumesababisha serikali ya Kongo kusitisha kwa muda utekelezaji wa mabadiliko ya sheria yake ya madini.
Na Swaleh Mwanamilongo
Kinshasa, DRC
Kushuka kwa bei ya madini kwenye masoko ya kimataifa kumesababisha serikali ya Kongo kusitisha kwa muda utekelezaji wa mabadiliko ya sheria yake ya madini.
Tangazo hilo lililotolewa na waziri wa Kongo wa madini limepingwa vikali na mashirika 42 ya kiraia ambayo yamesema kutobuniwa kwa sheria hiyo mpya ni sawa na kuyapa nafasi makampuni ya madini kuendelea kupora rasilimali za kitaifa, huku wananchi wakisalia masikini. Sikiliza taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo:
Your browser doesn’t support HTML5