Baada ya uchaguzi wa Urais na magavana kufanyika kwenye visiwa vya Comoro tarehe kumi Aprili,matokeo yamengojewa kwa hamu kutoka upande wa Serikali na vyama vya upinzani.
Your browser doesn’t support HTML5
Akizu8ngumza na Sauti ya Amerika kutoka Moroni mwandishi wa habari Abdulrahman Baramia alisema hali ni ya utulivu katika visiwa vyote baada ya matangazo yaliyokua yanasubiriwa kwa hamu kutangazwa.