China yasisitiza umuhimu wa kushirikiana na viongozi wa Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

China yasisitiza umuhimu wa kushirikiana na viongozi wa Afrika katika kikao cha mawaziri kabla ya mkutano mkuu.

Wapiganaji wameuwawa na wengine kukamatwa na wanajeshi wa Israeli wakati idadi ya vifo ikiongezeka katika operesheni ya Israel Gaza.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari