China yasifu uhusiano wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Your browser doesn’t support HTML5

China imesifu uhusiano wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakati viongozi wa Afrika wakianza kuwasili Beijing kuhudhuria mkutano mkuu.

Wafanyakazi wagoma Israeli kuishurutisha serikali kufikia makubaliano ya kuachiwa huru mateka wanaoshikiliwa na Hamas.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari