Wananchi wa Burkina Faso wapinga mapinduzi ya kijeshi

Waandamanaji wanaopinga kitendo cha kikosi cha kumlinda rais, kuchukua madaraka wakizuia magari katika barabara za mji mkuu wa Ouagadougou, Burkina Faso, 16 Septembre, 2015.

Waandamanaji wakiimba nyimbo za kupinga kitendo cha kikosi cha kumlinda rais, kuchukua madaraka mjini Ouagadougou, Burkina Faso, 16 Septembre, 2015.

Waandamanaji wanaimba nyimbo za kupinga kikosi cha kumlinda rais mjini Ouagadougou, Burkina Faso, 16 Septembre, 2015.

Waandamanaji wakiimba nyimbo za kupinga kitendo cha kikosi cha kumlinda rais, kuchukua madaraka mjini Ouagadougou, Burkina Faso, 16 Septembre, 2015.

Waandamanaji wakiimba nyimbo za kupinga kitendo cha kikosi cha kumlinda rais, kuchukua madaraka mjini Ouagadougou, Burkina Faso, 16 Septembre, 2015.

Waandamanaji wakiimba nyimbo za kupinga kitendo cha kikosi cha kumlinda rais, kuchukua madaraka mjini Ouagadougou, Burkina Faso, 16 Septembre, 2015.

Kundi la watu limeanza kukusanyika kwenye uwanja wa Mapinduzi katika mji mkuu wa Ougadougu Jumatano usiku kupinga mapinduzi yaliyofanywa na jeshi mwezi mmoja kabla ya uchaguzi mkuu.