Rais Dilma Rousseff ashinda duru ya pili ya uchaguzi wa rais Jumapili
Mgombea kiti wa chama cha Workers' Party (PT) cha Brazil, Dilma Rousseff akionesha cheti chake cha kura katika kituo cha Porto Alegre, Oct. 26, 2014.
Mgombea kiti wa upinzani Aecio Neves wa chama cha Brazilian Social Democratic Party (PSDB) akisalimiana na wafuasi wake mjini Sao Joao del Rei, Oct. 25, 2014.
Maboxi yenye vyeti vya kupiga kura vinawasilishwa kwa basi katika kituo cha kupiga kura kabla ya vituo kufunguliwa kwa duru ya pili ya uchaguziwa rais nchini Brazili huko Belo Horizonte, Oct. 26, 2014
A soldier stands guard where people wait in line to vote in general elections outside a school at the Mare Complex slum in Rio de Janeiro, Brazil, Oct. 26, 2014.
People wait in line to vote in general elections outside a school at the Mare Complex slum in Rio de Janeiro, Brazil, Oct. 26, 2014.