Wakimbizi waingia hofu baada ya Ulaya kufunga mipaka yake

Wakimbizi wakisimama kwa mstari katika kituo cha wakimbizi kuingia Macedonia akatika kijiji cha Idomeni, Ugriki. takriban watu 100 au wachache ndio wanaruhusiwa kuingia kwa siku.

Hema katika kambi rasmi ya wakimbizi Tents are scattered all around an official camp.

Jalila, mwenye umri wa miaka 79  ni mama wa Ki-Yazidi kutoka Irak Kaskazini anamatumaini kuungana na binti yake huko Uholanzi.

Familia moja ya Wasyria wakisubiri kituo cha mpakani kufunguliwa wakiwa kwenye njia ya terni huko Uturuki.

Baba wa ki-Syria akicheza na wanawe.

And a Syrian father plays with his son.

Wajasirimali wa ki-Syria wakiwauzia wakimbizi wenzao bidhaa muhimu.

Moja wapo ya vituo vya maji huko Idomeni ambako kuna zaidi ya wakimbizi 13,000.