Wakati huo huo serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden inaendelea kupata shinikizo la ndani kuiwekea vikwazo zaidi Beijing.
Beijing yatangaza itakabiliana vilivyo na vitisho vya nchi za Magharibi
Your browser doesn’t support HTML5
Katika Kongamano la 20 la chama cha Kikomunisti cha China wiki iliyopita Rais Xi Jinping alikwepa kuitaja Marekani, lakini alikuwa na ujumbe uliokuwa dhahiri kwamba Beijing itakabiliana ipasavyo na vitisho vya nchi za Magharibi.