Jengo la biashara la poromoka Bangladesh

Watu wakusanyika kwenye jengo la Rana Plaza wakati watu wanajaribu kuwaokowa wafnaykazi wa viwanda vya kushona nguo walokwama ndani ya vifusi katika mji wa  Savar, kilomita 30 kutoka Dhaka, Bangladesh, April 24, 2013.

Wafanyakazi wa uwokozi wanawatafuta walonusurika baada ya jengo la gorofa nane kuporomoka huko, Savar, Bangladesh, April 24, 2013.

Wafanayakazi wa uwokozi wanaunganisha vitamba kumshusha muathirika aliyenusurika katika ajali ya jengo kuporomoka huko Savar, near Dhaka, Bangladesh, April 24, 2013.

Mtu aliyekwama ndani ya vifusi vya jengo la gorofa 8 akiokolewa baada ya jengo kuporomoka huko Savar, karibu na Dhaka, Bangladesh, April 24, 2013.

Mzima moto akimsaidia mfanyakazi wa kiwanda cha kushona nguo baada ya jengo la biashara kuporomoka huko Savar, near Dhaka, Bangladesh, April 24, 2013.

mama analia baada ya kuambiwa jamaa yake amefariki katika jengo lililoporomoka  Savar, karibu na Dhaka, Bangladesh, April 24, 2013.