Balozi wa Marekani nchini Tanzania asisitiza hataacha kuzungumzia demokrasia

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza kwamba hataacha kuzungumzia masuala ya demokrasia na haki za binadamu kinyume na alivyoagiza Rais Samia Suluhu Hassan.

Hali ya wasiwasi imeongezeka kwenye mpaka wa Israel na Lebanon, wanamgambo wa Hezbollah wameapa kuipiga Israel.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari