Baadhi ya wafuasi wa chama cha Republican wapata matumaini mapya kuelekea uchaguzi mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

Kongamano la Kitaifa la Chama cha Republikan lamalizika huku wafuasi wengine wakiwa na matumaini mapya kuelekea uchaguzi mkuu 2024.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari