Athari za Volcano : Wakazi wa Goma, DRC waomba msaada
Your browser doesn’t support HTML5
Mlipuko wa Volcano kwenye mlima Nyiragongo mjini Goma umesababisha maelfu ya watu kutoka Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kukimbilia Rwanda Jumamosi na baada ya hali kuwa shwari siku ya Jumatatu, wakazi waelezea athari za volcano.