Waandishi habari wa Thailand na wa nchi za kigeni watizama tangazo la jeshi la mkuu wa majeshi kwenye televisheni, katika chumba cha habari cha Clubu ya jeshi la nchi kavu, bankok, Mei 22, 2014.
Wapinzani wa serikali wainua mkono wakiimba wimbo wa taifa mjini Bangkok, Mei 22, 2014.
Wanajeshi wazuia msafara wa magari ya mgeni aliyetaka kufika mkatika Klabu ya Jeshi muda mfupi baada ya jeshi kutangaza mapinduzi. Mei 22, 2014, Bangkok, Thailand.
Mwanajeshi wa Thailand ajiweka katika hali ya ulinzi nyuma ya lori la kijeshi ndani ya uwanja wa Klabu ya Jeshi muda mfupi baada ya kutangazwa mapinduzi Mei22, 2014.
Wanajeshi wa Thailand wanalinda eneo ambalo wapinzani wa serikali hukutana kufanya mkutano wao mjini Bankok. , May 22, 2014.
watawa wa Kibudha wapita kituo cha ukaguzi karibu na kambi ya wafusi wa serikali katika jimbo la Nakhon Pathom nje ya mji wa Bangkok, May 22, 2014.
A Thai soldier wields a machine gun as his unit takes its position, in central Bangkok, May 20, 2014.
Thai soldiers check a taxi near the site where pro-government "red shirt" supporters gather, in the suburbs of Bangkok, May 20, 2014.
A Thai soldier guards the Government House compound of the prime minister's office, in Bangkok, Thailand, May 20, 2014.
Wanajeshi wa Thailand washika zamu kati kati ya njia kuu mjini Bankok Mei, 20, 2014.