Amri ya utendaji ni nini?

Amri ya Utendaji ni agizo linalotolewa na Rais wa Marekani kusimamia operesheni za serikali kuu. Amri hizi zina nguvu ya kisheria, licha ya kuwa hazihitaji kuidhinishwa na Bunge.