Mauaji mengine ya Albino Burundi

  • Amida Issa
Nchini Burundi raia wawili mama na mtoto wake mwenye umri wa miaka 4 wauwawa.

Nchini Burundi raia wawili mama na mtoto wake mwenye umri wa miaka 4 wote wenye ulemavu wa ngozi albinos wameuwawa usiku wa jana kuamkia leo. Mauwaji hayo yameelezewa na mkuu wa shirika la kutetea haki za maalbinos kama yamesababishwa na udhaifu wa sheria nchini humo.

Mauaji mengine ya Albino Burundi