Afrika itarajie nini baada ya Donald Trump kurejea madarakani?
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa nchi za Afrika watuma salamu za pongezi kwa rais mteule wa Marekani kufuatia ushindi katika uchaguzi mkuu wa Marekani ambapo alichaguliwa tena kuwa rais ya nchi hiyo kwa mara ya pili.