Mkutano wa viongozi Umoja wa Afrika Jan 30-31, 2016

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Umoja wa Afrika, Addis Ababa, Saturday, Jan. 30, 2016.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon akihutubia mkutano wa Umoja wa Afrika

Rais Paul Kagame wa Rwanda- Addis Ababa, Jan. 30, 2016.