Mkutano wa Baraza la Usalama na Amani la Umoja wa Afrika kuhusu Ugaidi, Nairobi, Kenya Sept 2, 2014
Rais wa, Uhuru Kenyatta, akisikiliza mazungumzo katika mkutano wa AU, Sept. 2, 2014, mjini Nairobi, Kenya.
Rais wa Nigeria, Dr. Goodluck Jonathan, akihudhuria mkutano wa AU Nairobi, Kenya Sept. 2, 2014
Rais wa Chad, Idriss Deby, katika mkutano wa AU Summit, Nairobi, Kenya.
Rais wa Nigeria, Dr. Goodluck Ebele Jonathan, wakati wa hotuba yake katika mkutano wa AU, Nairobi, Kenya.
Rais wa Nigeria, Dr. Goodluck Ebele Jonathan, kushoto, akiwa na Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Tume ya Amani na Usalama ya AU.
Rais wa Chad, Idriss Deby, kushoto, akiwa na Balozi Smail Chergui katika mkutano huo.
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kushoto, akipeana mkono na Rais wa Chad, Idriss Deby, wakati8 wa mkutano wa AU Summit, Sept. 2, 2014, mjini Nairobi, Kenya.
Rais wa Nigeria, Dr. Goodluck Ebele Jonathan, kushoto, anakutana na Rais wa Chad, Idriss Deby, wakiati wa mkutano wa AU, Sept. 2, 2014, mjini Nairobi, Kenya.