Washabiki wa timu ya Uganda watamba kuwa wataibuka washindi...
AFCON 2019 MISRI : Uganda kuchuana na Senegal raundi ya 16
Your browser doesn’t support HTML5
Mechi za kwanza Ijumaa zitakuwa baina ya wawakilishi pekee wa Afrika Mashariki dhidi ya Senegal katika uwanja wa Cairo International