Mwandishi wa VOA Sunday Shomari amefanya mahojiano haya mjini Cairo, Misri.
AFCON 2019 MISRI :Ufafanuzi juu ya hatma ya kocha wa Tanzania
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa TFF Tanzania atoa ufafanuzi juu ya kuondoka kwa kocha wa timu ya taifa ya Tanzania baada ya timu yake kutolewa katika michuano ya AFCON.