Tayari timu 16 zimefuzu raundi ya pili zikiongozwa na wenyeji wa michuano hiyo Misri.
AFCON 2019 MISRI Kundi E-F Raundi Ya Pili
Your browser doesn’t support HTML5
Raundi ya pili ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika, AFCON, itaanza Ijumaa baada ya kumalizika kwa raundi ya kwanza Jumanne.