AFCON 2019 MISRI : Mchekeshaji Na Msanii Wa Tanzania Atoa Nasaha Zake

Your browser doesn’t support HTML5

Mchekeshaji na msanii Pierre Liquid akizungumza na mwandishi wa VOA Sunday Shomari nchini Misri, Jumanne
Liquid amewataka wachezaji wa Tanzania wasikate tamaa kwani bado wana nafasi ya kushinda...