ADF Washukiwa kufanya mauaji katika kijiji huko DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Watu Zaidi ya thelathini wauwa na wapiganaji wenye silaha na shoka ,Mapanga wanao dhaniwa kuwa wa kundi la ADF katika Kijiji cha Maikengu katika secta ya Bapere nakusababisha wana vijiji kuhama makaazi yao wilayani Lubero Kivu kaskazini .