Malaria

Benki ya Dunia imetangaza kutoa dola milioni 200 katika juhudi za kusaidia kupambana na malaria katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika.