Nairobi

Serikali ya Kenya imeunda kamati maalumu ya mawaziri itakayoshauriana na viongozi wa madhehebu ya dini yanayopinga kuidhinishwa kwa katiba mpya nchini humo.