UN yaitaka nigeria kuchukua hatua za wachochezi wa mauaji

Umoja wa mataifa umeisihi Nigeria kuhakikisha wachochezi wa ghasia za mauaji ya jumapili wanafikishwa katika mkondo wa sheria.