Mapinduzi ya Niger

Viongozi wa kijeshi wa Niger wametangaza kuivunja serikali siku moja baada ya kumwondoa madarakani rais wa nchi hiyo.