Odinga aomba msaada kwa raia wa Sudan Kusini

Waziri Mkuu Raila Odinga ataka jamii ya kimataifa kusaidia raia wa Kusini mwa Sudan kuamua ikiwa wajitenge na taifa la Sudan na kuunda taifa lao huru.