Rushwa

Polisi wa tume ya kupambana na rushwa nchini Kenya wavamia nyumba za maafisa wa Wizara ya Elimu wanaotuhumiwa kwa wizi wa mabilioni ya fedha za serikali.