Mapambano

Watu 139 wameuawa na ng’ombe elfu tano wamechukuliwa katika mapambano ya kikabila kati wadinka na wanuer huko sudan kusini.