PLO Lumumba ateuliwa kupambana na rushwa Kenya

Kamati ya ushauri ya Tume ya kupambana na rushwa Kenya,yamteua mwanasheria PLO Lumumba kuwa mkurugenzi mpya wa Tume hiyo kuchukua mahali pa Jaji Aaron Ringera aliyelazimika kujiuzulu.