marais wa jumuiya ya Afrika Mahsariki wakutana Arusha

Marais wa nchi 5 za jumuiya ya Afrika Mashariki watia saini itifaki ya soko la pamoja mjini Arusha.Hali ya wasiwasi yatanda Kaskazini Mashariki mwa Kenya baada ya watu 12 kuuawa kikatili.