wakenya wapekuapekua katiba kielelezo

Wakenya waanza kupekuapekua katiba kielelezo huku bunge likitaka kura ya kitaifa ya maoni juu ya katiba hiyo kielelezo ifanyike haraka.Maharamia wa Somalia washambulia meli ya Marekani.