Habari

Rais Kibaki wa Kenya amempongeza Rais Obama kwa kuteuliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Amani mwaka huu. Mjumbe wa Congo anatarajia kuwasili Burundi kuzungumzia suala la wakimbizi wa DRC.