Serikali ya Kenya yakanusha uwezekano wa kuzuka mapigano mapya ya wakikuyu na wakalenjin

Serikali ya Kenya yakanusha uwezekano wakuzuka mapigano mapya kati ya Wakikuyu na Wakalenjin . Kiongozi wa kijeshi wa Guinea asema atateuwa tume huru kuchunguza mauaji ya waandamanaji wa upinzani.