Jaji Mbaluto wa Kenya afutwa kazi

Jaji Mbaluto wa mahakama kuu Kenya afutwa kazi kwa madai ya ufisadi.Wanajeshi wa umoja wa Afrika waliojeruhiwa katika shambulizi la Mogadishu na kundi la al Shabab watibiwa mjini Nairobi.