Polisi Kenya wakataa kutoa idhini ya maandamano ya siku ya Alhamisi kupinga kuteuliwa tena kwa jaji Ringera kwenye tume ya kupambana na rushwa. Waganda 21 wafariki katika ghasia za Kampala.