Bunge kuamua juu ya hatma ya Ringera

Bunge la Kenya liitamua ikiwa Rais Kibaki alivunja sheria kwa kumteua tena Jaji Ringera kuongoza tume ya kupambana na rushwa. Jeshi la Uganda lakamata kamanda wa juu wa kundi la L.R.A.